Mr. Bobos Class, ni blog inayotoa taarifa mbalimbali za ajali na athari zake.Itangalia ajali zote lakini zaidi zile za barabarani.Mbali ya kutoa taarifa pia inatoa elimu jinsi ya kuzuia ajali na ushauri nasaha kwa waathirika,na jinsi wanavyoweza kupata msaada baada ya kupata athari.Pia Blog hii itaungana na wadau mbalimbali wanaohusika na masuala ya ajali kwa njia moja au nyingine, kuelimisha na kutoa ushauri.Blog inatumia Kiswahili na Kiingereza.
Thursday, April 16, 2009
Aise! Kama Bongo!
Inaelekea huko ni kama bongo, sheria mfukoni. Mtu kama huyu anaruhusiwa vipi kupita barabarani?
Hii kushinda hata bongo tena mwanmke huyo, yetu macho tu.
ReplyDeleteHii kushinda hata bongo tena mwanamke huyo, yetu macho tu.
ReplyDelete