tag:blogger.com,1999:blog-5641242890735676333.post1089158511268452810..comments2023-10-23T22:35:32.085+03:00Comments on MR. BOBOS CLASS: Ujumbe Kwa TANROADS!Tram Almasihttp://www.blogger.com/profile/03493548681461312498noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-5641242890735676333.post-61894783282416109392009-04-16T13:55:00.000+03:002009-04-16T13:55:00.000+03:00Haswaa,kwa nguvu zote lazima kieleweke.Haswaa,kwa nguvu zote lazima kieleweke.Tram Almasihttps://www.blogger.com/profile/03493548681461312498noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5641242890735676333.post-86248882938334341332009-04-16T10:14:00.000+03:002009-04-16T10:14:00.000+03:00Nimekusoma mkuu, umeamsha hisia zangu, muda si mre...Nimekusoma mkuu, umeamsha hisia zangu, muda si mrefu tunawagongea hodi tena TANROADS, mpaka kielewekeAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5641242890735676333.post-62640780614431378032009-04-15T18:22:00.000+03:002009-04-15T18:22:00.000+03:00Mwanasosholojia, natumai tukiungana na kuwaamsha T...Mwanasosholojia, natumai tukiungana na kuwaamsha TANROADS labda watafanya linalotakiwa kufanywa ili kukabiliana na hali hii. Unajua tunapoteza muda mwingi wa kuzalisha kwa ajili ya kukaa kwenye foleni.Kila kukicha kero ya foleni inaongezeka. si njia tatu wala nini, ambayo ilitatua tatizo hili.Kama bajeti ya kuweka fly-overs haipo(kitu ambacho nina uhakika)basi hizi 'feeder roads' zifanyiwe kazi.Tram Almasihttps://www.blogger.com/profile/03493548681461312498noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5641242890735676333.post-49277858934575467272009-04-15T14:15:00.000+03:002009-04-15T14:15:00.000+03:00Umenena Mr. Bobos Class!Nimewahi kukaa Ubungo Msew...Umenena Mr. Bobos Class!Nimewahi kukaa Ubungo Msewe kwa miaka takribani minne na kishuhudia jinsi njia hii ilivyo busy kwa magari kila asubuhi na jioni.Ina umuhimu mkubwa kama ulivyobainisha, nakumbuka kero zilizokuwa zikitupata kipindi cha mvua, utelezi na magari kukwama, yote hayo ikiwa ni pilika za kukwepa foleni ya Morogoro Road!TANROAD waamke!Anonymousnoreply@blogger.com