tag:blogger.com,1999:blog-5641242890735676333.post302749257078635030..comments2023-10-23T22:35:32.085+03:00Comments on MR. BOBOS CLASS: MIKANDA NI MUHIMU KWENYE MABASI!Tram Almasihttp://www.blogger.com/profile/03493548681461312498noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-5641242890735676333.post-16722633961557362192009-03-09T12:41:00.000+03:002009-03-09T12:41:00.000+03:00Hellen, Tatizo baadhi ya abiria wanashangilia maga...Hellen, Tatizo baadhi ya abiria wanashangilia magari yanapoenda kwa kasi sana kama hivyo. Ni lazima tuseme No! kwa hizi ajali zisizo za lazima.Tram Almasihttps://www.blogger.com/profile/03493548681461312498noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5641242890735676333.post-70233524239073359472009-03-09T11:56:00.000+03:002009-03-09T11:56:00.000+03:00Kwa kweli mabasi mengi ya mikani hayana mikanda ka...Kwa kweli mabasi mengi ya mikani hayana mikanda kabisa na utakuta dereva anaendesha kana kwamba yuko kwenye mashindano ya magari hawazi kuwa amebeba roho za watu. Njiani wanataka kuovertake malori yaani unasafiri roho iko mkononi. Ikifungwa break ya haraka kaka utajikuta umejigonga kwenye kiti cha mbele. Kungekuwa na utaratibu pia wa kuangalia muda aliotoka dereva na muda anaopaswa kufika kama ni safari ya masaa 3 au sita na iwe hivyo. Na abiria tunapaswa kuwa wakali juu ya hili maana maisha yetu ndiyo yanawekwa hatarini.Anonymousnoreply@blogger.com