tag:blogger.com,1999:blog-5641242890735676333.post5272460556901128925..comments2023-10-23T22:35:32.085+03:00Comments on MR. BOBOS CLASS: Waendesha Magari Wengi Madereva Wachache!Tram Almasihttp://www.blogger.com/profile/03493548681461312498noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-5641242890735676333.post-71481116822372973372009-05-11T19:00:00.000+03:002009-05-11T19:00:00.000+03:00Ni kweli MR. BOBOS! kabisa Dar inaongoza kwa kutok...Ni kweli MR. BOBOS! kabisa Dar inaongoza kwa kutokuwa na madereva bali 'waendesha magari' maana mtu akipata mkopo wa 'SACCOS' anataka nae atoke vipi na 'SACCOS CAR' yake, hapo ndo utaona nani dereva na nani mfukuza upepo barabarani. Ujumbe kwa wadau 'wazee wa feva'(Polisi wa usalama barabarani tuokoeni na hili jinamizi la ajali maana litatumaliza na kusababisha nguvu kazi kupungua na kutuletea yatima wengi nchini mwetujoseph kilufinoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5641242890735676333.post-616408089105755262009-04-20T14:39:00.000+03:002009-04-20T14:39:00.000+03:00Nashukuru wadau kama wewe kuliona hilo, maana tuta...Nashukuru wadau kama wewe kuliona hilo, maana tutakuwa tunaimba nyimbo za "ajali ajali" kila kukicha.Lakini hakuna mabadiliko.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5641242890735676333.post-82011365245414371472009-04-20T09:33:00.000+03:002009-04-20T09:33:00.000+03:00Umenena Tram!Dar ina waongoza magari tena hata bor...Umenena Tram!Dar ina waongoza magari tena hata bora waendesha magari..mtu anajua kukanyaga mafuta,kufunga breki,kubadili auto- gear ili gari itembee na kuzungusha sterling tu!taa, anajua kuziwasha full tu muda wote. Huyo ndiye utakuta hata gari ikiharibika hajui ai-park namna gani na awashe hazard lights na kuweka triangle signs au alama nyingine ya tahadhari!Ajali nyingi zinasababishwa na hizi leseni za kuletewa nyumbani! Sijui lini hali hii itakwisha!Mwanasosholojiahttps://www.blogger.com/profile/11175747029636518855noreply@blogger.com