tag:blogger.com,1999:blog-5641242890735676333.post6623143186610840608..comments2023-10-23T22:35:32.085+03:00Comments on MR. BOBOS CLASS: Mbunge Afariki Katika Ajali!Tram Almasihttp://www.blogger.com/profile/03493548681461312498noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-5641242890735676333.post-17640110666658368642009-04-26T09:22:00.000+03:002009-04-26T09:22:00.000+03:00Ni kweli mzee, yani ukiona ajali zinavyoingia hapo...Ni kweli mzee, yani ukiona ajali zinavyoingia hapo MOI kwa siku, hali inatisha. Jana nilitembelea MOI ndio nikapata hizo ajali nilizoripoti.Naahidi kupita huko kesho ili nichanganye za leo na kesho, utashangaa jinsi idadi ilivyo kubwa.<br />Nakubaliana na wewe kwamba, askari wa usalama barabarani wana wajibu mkubwa sana kukabiliana na tatizo hili, lakini hawatekelezi wajibu wao. Kila kukicha tunapoteza watu muhimu sana kwa maendeleo ya Taifa hili.<br />Kwa mfano, Bajaji ni usafiri unaotumika miaka nenda rudi katika nchi za mashariki ya mbali. Jana nilikuwa naongea na mtanzania anayeishi huko, ameonyesha kushtushwa na ajali za Bajaji hapa nchini na anajiuliza kwanini sisi?Jiji la Mombasa linatumia Bajaji kwa kiwango kikubwa sana, lakini kwa kipindi nilichopata nafasi ya kukaa huko, sijashuhudia ajali ya Bajaji hata moja.<br />sasa tujiulize, ni wapi hapajakamilika?Tram Almasihttps://www.blogger.com/profile/03493548681461312498noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5641242890735676333.post-43971535440197760552009-04-26T02:05:00.000+03:002009-04-26T02:05:00.000+03:00Mkuu hizi ajali sidhani kama zitakuja kuisha kama ...Mkuu hizi ajali sidhani kama zitakuja kuisha kama hakuna ushirikiano wa kutosha kutoka kwa ndugu zetu wa usalama barabarani.Basi linatoka Bukoba kuja Dar lina dereve mmoja!Trafiki wanaangalia tu likipita!Nchi yetu tunaiangamiza wenyewe kwa kupenda njia za mkato, huku maisha ya wenzetu yakiteketea kila kukicha!Mwanasosholojiahttps://www.blogger.com/profile/11175747029636518855noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5641242890735676333.post-28071375376722794412009-04-25T17:22:00.000+03:002009-04-25T17:22:00.000+03:00Thanx for visiting Dyanna,ur most welcome. I gonna...Thanx for visiting Dyanna,ur most welcome. I gonna visit your blog and learn something new from you.Tram Almasihttps://www.blogger.com/profile/03493548681461312498noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5641242890735676333.post-83075045247901985252009-04-25T14:52:00.000+03:002009-04-25T14:52:00.000+03:00I like your blog.I like your blog.dyannahttps://www.blogger.com/profile/02117124153484092545noreply@blogger.com