tag:blogger.com,1999:blog-5641242890735676333.post8004792156519553368..comments2023-10-23T22:35:32.085+03:00Comments on MR. BOBOS CLASS: Shule za Udereva Zimetuangusha?Tram Almasihttp://www.blogger.com/profile/03493548681461312498noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-5641242890735676333.post-22107095492642223182009-03-09T11:59:00.000+03:002009-03-09T11:59:00.000+03:00Hivi hizi shule kwanza zinasimamiwa na nani? na ha...Hivi hizi shule kwanza zinasimamiwa na nani? na hadi kuandikishwa nini kigezo? Utakuta kwenye gari watu watu kama 4 au 5 hivi hao wote ni wanafunzi, yaani wanafundishwa bora liende ili mradi mtu ajue kuwasha gari na kulipeleka barabarani. Wiki mbili mtu amefuzu na yuko barabarani anaendesha chombo cha usafiri. Wengine ndio hujifunza juu ya wenzao na leseni ndio za kupeana mradi utoe kitu kidogo sasa wadhani hapo tutafika? wadhani ajali zitapungua kwa staili hii? Wanaohusika waliangalie hili kwa undani.Anonymousnoreply@blogger.com