Habari inayopatikana katika mtandao wa www.dullonet.com umeandika taarifa ya kwamba, watu wawili wamekufa papo na wengine 34 kujeruhiwa vibaya kufuatia ajali iliyotokea wilayani Tarime mkoani Mara kwa kulihusisha basi la Batco Coach la jijini Mwanza linalofanya safari zake Mwanza Sirari mpakani mwa Kenya na Tanzania, majira ya 12.30 asubuhi (Kwa habari zaidi tembelea; http://www.dullonet.com/02.03.09_ajali_tarime.php)
No comments:
Post a Comment