Sunday, March 8, 2009

Shimo la kudumu Magomeni Mapipa!

Mti unaoonekana pichani sio kwamba umeota katika lami, bali umechomekwa na msamaria mwema katika katika shimo kubwa lililopo katikati ya barabara eneo la Magomeni Mapipa ili kuepusha ajali ya watu kuzama au magari . Hilo shimo lipo hapo kwa takriban mwaka mzima sasa. Je, wahusika wanasubiri maafa yatokee?

No comments:

Post a Comment