Friday, April 3, 2009




Ajali Mpaka lini?

Wakazi wa Chalinze Mkoa wa Pwani wakilishangaa tela lenye namba za usajili T 387 AHT lililokuwa kwenye gari lenye namba za usajili T 294 AHU ambapo lilikatika na kuacha njia na kuingia katika nyumba ya mmoja wa eneo hilo. Kwa bahati nzuri hakuna Hakuna mtu aliyejeruhiwa katika ajali hii .
Mtazamo wangu: Sijui ajali zimhusishe nani ili tuzinduke na kuchukua hatua?
(Picha na habari imechukuliwa kutoka blog ya Faustine's Baraza )

No comments:

Post a Comment