Sunday, April 12, 2009

Breaking News!

Habari zilizonifikia hivi punde kutoka kwa abiria aliye ndani ya Basi la Al Saedy kuelekea Dodoma(12.30pm) zinasema kwamba katika eneo la Mdaula mkoani Morogoro, Kuna gari la kubebea mafuta(Tanker) linawaka moto lakini cha kusikitisha ni kwamba, hakuna njia yoyote ya kuzima moto huo. Watu waliopo eneo hilo wamekuwa wakiangalia tu hawana cha kufanya.Inasikitisha!

No comments:

Post a Comment