Wednesday, April 1, 2009

Du! Sasa hii kali!

Huyu mwendesha baiskeli alikutwa maeneo ya Kigoma, sijui wadau mnasemaje. Mimi nafikiri ingekuwa halali kwa Askari wa usalama barabarani kumtia nguvuni huyu bwana.

No comments:

Post a Comment