Friday, April 17, 2009

Mwendo Kasi ni Hatari!

Derevawa gari inayoonekana pichani juu, alikuwa akiendesha gari kwa kasi sana na aliishia kupanda ukuta wa katikati ya barabara ili kuepusha ajali baada ya gari kumshinda kutokana na huo mwendo kasi. Hii ilikuwa maeneo ya Ubungo plaza.Wahenga wanasema 'haraka haraka haina baraka'.

No comments:

Post a Comment