MR. BOBOS CLASS

Mr. Bobos Class, ni blog inayotoa taarifa mbalimbali za ajali na athari zake.Itangalia ajali zote lakini zaidi zile za barabarani.Mbali ya kutoa taarifa pia inatoa elimu jinsi ya kuzuia ajali na ushauri nasaha kwa waathirika,na jinsi wanavyoweza kupata msaada baada ya kupata athari.Pia Blog hii itaungana na wadau mbalimbali wanaohusika na masuala ya ajali kwa njia moja au nyingine, kuelimisha na kutoa ushauri.Blog inatumia Kiswahili na Kiingereza.

Friday, May 8, 2009

Danger Zone!



Mara kadhaa nimeona watembea kwa miguu wanavyohatarisha maisha yao katika eneo hili la ubungo mataa. kinachotokea ni kwamba, watu wanakuwa hawana subira kungoja magari yapite halafu wao ndiyowapite,wanakuwa kundi kubwa linaingia barabarani kuvuka bila hata ya kuangalia gari linalokuja linaenda kasi kiasi gani.Naamini kwamba, kama tahadhai ya kutosha isipochukuliwa, kuna siku maafa makubwa yatatokea katika eneo hilo.
Jamani, tahadhari kabla ya  hatari.


Tram Almasi at 5:32 PM

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version

About Me

My photo
Tram Almasi
I have more than 10 years working in the accidents and emergencies area. I have seen the impact of accidents on people socially, economically and psychologically;I am a Learner;Teacher;Public Relations Practitioner;Sociologist;Public Health Graduate;Web Researcher;I read,I write,plan,source information and an internet researcher. Calls:+255 712 65 65 19 +255 754 587 527 Email:gomastorm@gmail.com
View my complete profile
Powered by Blogger.