Mapambazuko!
Hii ni mandhari ya jiji la Dar es salaam kunapopambazuka. Inavutia sio?Sisi wenye nafasi ya kuona haya mapambazuko si kwa kupenda, bali ni katika harakati za kukimbia msongamano wa magari unaowakwaza wakazi wa jiji hili.Nafikiri modernization of Dar Roads utatukomboa. Au wadau wa kule Kimara, Mbezi, Kibamba, Tegeta, Segerea, Ukonga Mnasemaje?(Sunrise in the city of Dar es salaam)
No comments:
Post a Comment