Thursday, May 7, 2009


Ujumbe nyuma ya hii gari unasema kwamba,
"Nenda kwa Usalama" Ujumbe mzuri lakini ni gari hiyo hiyo ambayo inaendeshwa bila taa moja ya nyuma. au ndio "Fuata Nisemayo na Usifuate Nitendayo?"

No comments:

Post a Comment