"Kama Ipo Ipo tu"
Nafikiri sisi sote ni watumiaji wa barabara na tumekutana na ujumbe kama huu katika magari au bajaji kama inavyoonekana hapo juu. Mara nyingi najaribu kufikiria mtu anapoandika ujumbe kama huu anakuwa ana maana gani? Wadau mna maoni gani juu ya hilo?
No comments:
Post a Comment