Mr. Bobos Class, ni blog inayotoa taarifa mbalimbali za ajali na athari zake.Itangalia ajali zote lakini zaidi zile za barabarani.Mbali ya kutoa taarifa pia inatoa elimu jinsi ya kuzuia ajali na ushauri nasaha kwa waathirika,na jinsi wanavyoweza kupata msaada baada ya kupata athari.Pia Blog hii itaungana na wadau mbalimbali wanaohusika na masuala ya ajali kwa njia moja au nyingine, kuelimisha na kutoa ushauri.Blog inatumia Kiswahili na Kiingereza.
Wednesday, August 26, 2009
Australia Kusaidia Bajaj za Kubebea Wagonjwa!
Australia imesema itasaidia bajaj kwa ajili ya kubebea wagonjwa. Naibu Waziri Mkuu wa Australia, Dk Kim Hames alisema hayo jijini Dar es salaam alipokuwa akizungumza na Waziri wa Afya na ustawi wa Jamii, Prof. David Mwakyusa.
No comments:
Post a Comment