Wednesday, August 26, 2009

Matokeo ya Kutopata Tiba Muafaka!

Mgonjwa huyu alikutwa Taasisi ya Tiba ya Mifupa(MOI) mkono ukiwa umevimba sana, lakini ilijulikana kwamba baada ya kupata ajali hakwenda hospitali baada ya kujiridhisha kwamba hajaumia kwa kiwango kikubwa hivyo alirudi nyumbani na kuukanda kwa maji mkono ulioumia. Kilichotokea ndio kama unavyoona pichani.Baada ya upasuaji mkono ulirudi katika hali ya kawaida.

No comments:

Post a Comment