Wednesday, April 8, 2009

Samahani Inatisha Lakini Haina jinsi(It Is Scary, But That is it!)





Wadau mniwie radhi,picha zinatisha kidogo lakini haina jinsi nafikiri ili tuweze kuwa 'serious' na haya mambo ya ajali, ni lazima tuonyeshane madhara halisi yanayotokana na ajali hizo.
Picha zinaonyesha mwendesha pikipiki baada ya kupata ajali na baada ya matibabu. Ni kwamba mguu ulikuwa hautamaniki na watu waliomuona baada ya ajali,walijua kabisa kwamba huyu bwana ndio ameishaukosa huo mguu.
Lakini baada ya kufikishwa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Magonjwa ya Ajali(MOI) madaktari walifanya kazi nzuri sana, na picha unayoona nyingine ni baada ya kufanyiwa upasuaji wa dharura na mguu upo katika hali ya kuridhisha.
I am sorry I had to post these photos just to show people the sufferings accident victims go through.This ,I believe, could create awareness among various road users.'Seing is believing'

yES! nafikiri ni vema tukionyeshana matukio kama haya labda itasaidia kuwashtua watu ili wawe na nidhamu ya matumizi bora ya barabara.

No comments:

Post a Comment

blogarama - the blog directory
Directory of News Blogs
This blog gives information about accidents-vehicles,motorcycles,bycycles etc,also highlights the suffering of those involved in various accidents. It gives counselling to the accidents victims and information as to where they can get assistance be it legal or humanitarian.
Health blogs
eXTReMe Tracker