Showing posts with label Ujumbe. Show all posts
Showing posts with label Ujumbe. Show all posts

Saturday, May 16, 2009

Mombasa Raha! Mh!!

Maneno yaliyopo ubavuni mwa basi hili yanasema "Mombasa Raha!" Wadau mnasemaje kuhusu hayo?

Thursday, May 7, 2009


Ujumbe nyuma ya hii gari unasema kwamba,
"Nenda kwa Usalama" Ujumbe mzuri lakini ni gari hiyo hiyo ambayo inaendeshwa bila taa moja ya nyuma. au ndio "Fuata Nisemayo na Usifuate Nitendayo?"
blogarama - the blog directory
Directory of News Blogs
This blog gives information about accidents-vehicles,motorcycles,bycycles etc,also highlights the suffering of those involved in various accidents. It gives counselling to the accidents victims and information as to where they can get assistance be it legal or humanitarian.
Health blogs
eXTReMe Tracker