Mr. Bobos Class, ni blog inayotoa taarifa mbalimbali za ajali na athari zake.Itangalia ajali zote lakini zaidi zile za barabarani.Mbali ya kutoa taarifa pia inatoa elimu jinsi ya kuzuia ajali na ushauri nasaha kwa waathirika,na jinsi wanavyoweza kupata msaada baada ya kupata athari.Pia Blog hii itaungana na wadau mbalimbali wanaohusika na masuala ya ajali kwa njia moja au nyingine, kuelimisha na kutoa ushauri.Blog inatumia Kiswahili na Kiingereza.
Wednesday, March 4, 2009
DOKEZO LA LEO!
"Kulingana na sheria Na. 57, dereva anapoliweka gari lake barabarani anatakiwa kuwa na vitu muhimuvifuatavyo;kadi ya usajili, Bima, leseni ya udereva, leseni ya ubebaji wa abiria kama kama ni gari ya abiria"
No comments:
Post a Comment