Wednesday, March 4, 2009

Kazi katika Mazingira Magumu!



Sio kwamba kiwango cha picha si kizuri, hapana! Picha ilipigwa kukiwa na mvua kubwa sana. Askari hawa wa usalama barabarani walikutwa jijini Dar es salaam wakifanya kazi ya kuondoa msongamano wa magari baada ya mvua kubwa kunyesha. Kwa kweli walionyesha kujituma na kufanya kazi bila kujali mazingira yanayowakabili. Big up sana!

No comments:

Post a Comment