Tuesday, June 19, 2012

Overtaking: Any comments?





8 comments:

  1. Hatari bin dangerous,e bwana hali kama hiyo ni hatari tataizo hata sisi abiria katika hilo basi tuliona hali hiyo na tunaendelea kunyamaza.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nimewahi kusafiri na bus mara kadha kutoka dar kwenda moshi na arusha vile vile sasa basi tatizo kubwa nii madereva hawa wanashindana kuwahi abiria na swala ya abiria kutaka wafike haraka haina sababu hapa mbona wasi pande ndege kama wanaharaka sana hivo nina uwezo ya kupanda ndege lakini mihuona bora bus utaona nchi hivyo basi madereva wote wa ma bus wanapaswa kuelimishwa usalama ya barabarani

      Delete
  2. watu wanataka kufika haraka ndio madai yao

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sisawa ulivo sema kwa sababu dereva haamrishwi na wasafiri mara nyingi 95%
      Hata wakiona hatari ueneshaji mbaya ya dereva wao huona kama nii sawa huko kwako umuambiye dereva hapo si sawa kinacho weza kusaidia tena sana kampuni ya bus wamiliki walizimishwe kutowa risiti ambayo inampa abiria info ya kumripoti dereva kwa njia ya watsapp na social media na kampuni nilazima itowe elimu na wawe na uwezo ya kumfuta kazi dereva yeyote anye hatarisha maisha yake na abiria umuhimu ya usalama barabarani inakutugusa sote

      Delete
  3. Very informative, keep posting such good articles, it really helps to know about things.

    ReplyDelete
  4. I am extremely impressed along with your writing abilities, Thanks for this great share.

    ReplyDelete
  5. Its about that time someone thanks for this blog public safety is paramount and affects all nationally and its very graphic to all travellers much more needs to be done on road safety
    I thank you once again sharing is caring

    ReplyDelete
  6. My advice to the blogger have a delete edit top right

    ReplyDelete

blogarama - the blog directory
Directory of News Blogs
This blog gives information about accidents-vehicles,motorcycles,bycycles etc,also highlights the suffering of those involved in various accidents. It gives counselling to the accidents victims and information as to where they can get assistance be it legal or humanitarian.
Health blogs
eXTReMe Tracker