Saturday, March 27, 2010

Accidents at Kibaha: A Scientific Reason?

Can somebody articulate why it seems there is some kind of pattern or a logical explanantion of why some of the most grisly accidents have happened in or near kibaha for many many years now.Is there any scientific reason for these occurences that our rulers have overlooked?
Kwa sababu siamini kama ni wingi wa magari au ufinyu wa barabara tu unaweza kuelezea ajali hizi. Kuna kitu kinasababisha na uhakika siyo cha kishirikina lazma kuna sababu ya kisayansi ya matukio haya.
Tembeleeni tovuti ya "Abobos" ina picha za ajali mbalimbali za vyombo vya usafiri hasa Bongo na mnaweza kupata picha ya jinsi gani kuna mahali kuna tatizo ambalo linaelezeka kisayansi na kutatulika kwa kiasi kikubwa kisayansi.
I saw this at www.jamiiforums.com as posted by Mzee Mwanakijiji and I thought I could reproduce the post for the benefit of my visitors in this blog. But above all i thank Mzee mwanakijiji for his recognition of my blog and its contribution to the society at large. secondly, i would appreciate if we could contribute on the topic at large. Welcome.

1 comment:

  1. Nafuatilia sana suala hili la ajali hasa eneo hili. Na ningependa kama ungekuwa na nafasi siku moja utuletee picha za eneo hili ili tuweze kuweza kuelewa kidogo jiografia ya mahali hapa kwa sababu ninaamini kabisa kuwa ajali hizi si matokeo ya wanga, majini, au vibwengo fulani, ni ajali ambazo zinaweza kuelezeka kisayansi na hivyo vinaweza kutatuliwa kisayansi vile vile. Keep it up! M. M. Mwanakijiji

    ReplyDelete

This blog gives information about accidents-vehicles,motorcycles,bycycles etc,also highlights the suffering of those involved in various accidents. It gives counselling to the accidents victims and information as to where they can get assistance be it legal or humanitarian.
Health blogs
eXTReMe Tracker