Tuesday, September 1, 2009

Majeruhi wa Ajali Wajaza Wodi MOI!
Wakati jitihada mbalimbali zinafanyika kuwadhibiti madereva wanaosababisha ajali mbalimbali hasa wa mabasi yanayoenda mikoani, hakuna hata mmoja ambaye amejaribu kuangalia jinsi hospitali zinazowahudumia majeruhi hao zilivyozidiwa kwa wagonjwa. Taasisi ya Tiba ya Mifupa(MOI) imejaza wagonjwa kama inavyoonekana pichani.
Wodi zimejaa kwa kiasi kikubwa, nafikiri tunapoongelea ajali na jinsi ya kuzidhibiti,tuangalie na jinsi hospitali zinazohudumia majeruhi hao zinavyofanya kazi na jinsi zinavyozidiwa.


No comments:

Post a Comment

This blog gives information about accidents-vehicles,motorcycles,bycycles etc,also highlights the suffering of those involved in various accidents. It gives counselling to the accidents victims and information as to where they can get assistance be it legal or humanitarian.
Health blogs
eXTReMe Tracker