Saturday, December 18, 2010

Kibamba Accidents-4(Machinjioni)(Copyright: River Springs ConneXions)
Hapa ndio mahali ambapo roho za maelfu ya watanzania huteketea kila kukicha.picha ya juu ukiangalia jiographia ya eneo ni kwamba lina kona kali na mteremko wa kutisha. hivyo linahitaji umakini wa kutosha. china linaonekana lori ambalo tayari limeshapinduka, lakini sikuweza kupata taarifa za majeruhi au watu waliopoteza maisha kwa muda huo.


(Copyright: River Springs ConneXions)
The photos above depicts the area which is prone to accidents and many people have lost their lives. Geograhically the area is sloppy with a sharp corner.As you can see, the lorry overturned in the no reports of death or injured people.


No comments:

Post a Comment

This blog gives information about accidents-vehicles,motorcycles,bycycles etc,also highlights the suffering of those involved in various accidents. It gives counselling to the accidents victims and information as to where they can get assistance be it legal or humanitarian.
Health blogs
eXTReMe Tracker