Tuk Tuk (Motorcycle)Special 2!
Mwanamuziki Mkongwe wa bendi ya African Stars wa ''Twanga Pepeta'' amefariki dunia kutokana ana ajali ya pikipiki. Kwa mujibu wa mtandao wa www.nifahamishe.com Abuu Semhando alikuwa akitoka eneo la africana(mbezi) ambako bendi yake ilikuwa inafanya shoo na akagongwa na gari majira ya saa kumi usiku akiwa njiani kurudi nyumbani kwake mwananyamala. Mungu ailaze roho ya Marehemu mahali Pema Peponi.Amin.Ninachoweza kusema, huu ni mtiririko wa ajali za pikipiki na madhara yake. je tufanye nini kukabiliana na hili? (The famous musician from African Stars Band ''Twanga Pepeta'',Abuu Semhando aka 'Baba Diana'(in the photo) is no more, following motorcycle accident which occured today at 4am. He was knocked down by a car while on his way back to his home at Mwananyamala( R.I.P).Picha na habari kutoka: www.nifahamishe.com
No comments:
Post a Comment