Mr. Bobos Class, ni blog inayotoa taarifa mbalimbali za ajali na athari zake.Itangalia ajali zote lakini zaidi zile za barabarani.Mbali ya kutoa taarifa pia inatoa elimu jinsi ya kuzuia ajali na ushauri nasaha kwa waathirika,na jinsi wanavyoweza kupata msaada baada ya kupata athari.Pia Blog hii itaungana na wadau mbalimbali wanaohusika na masuala ya ajali kwa njia moja au nyingine, kuelimisha na kutoa ushauri.Blog inatumia Kiswahili na Kiingereza.
Friday, January 28, 2011
Dar Roads!Accidents everywhere!
Friday, January 21, 2011
Driving Upcountry8-Kurya Ngoma.
As I was driving along in one of the villages in Mara region I met a group of wananchi doing the Kurya dance, it was something me and my colleague enjoyed very much after a long drive fatigue. It refreshed our minds and hence we had a safe drive.
Sorry, whoever did the recording was not a professional, so the camera twisted here and there,yet u can get the sweet taste of the 'ngoma'.
Tuesday, January 18, 2011
Monday, January 17, 2011
Dar es salaam Roads-So Strange!
Wednesday, January 12, 2011
Breaking News!-8 Dead, 22 Injured!
Monday, January 10, 2011
Tuk Tuk (Motorcycle)Special-6!NOT FOR THE FAINT-HEARTED!
(Copyright: River Springs ConneXions)
Police Officers collects the burnt body of the guy wrongly accused of stealing a motorcycle by mob justice
(Copyright: River Springs ConneXions)
The burning body of a guy accused of stealing a motorcycle
Thursday, January 6, 2011
Manyoni Dusty Road(Driving Upcountry)
Tuesday, January 4, 2011
Tuk Tuk (Motorcycle)Special-5!
Ha! mwendesha tuk tuk na abiria wake walianguka mbele ya gari yangu baada ya kuwa wanaendesha kwa mbwembwe na mwendokasi. ilikuwa bahati sikuwa naendesha mwendokasi,vinginevyo ingekuwa habari nyingine.