Sunday, June 21, 2009

Inafurahisha!

Inafurahisha kuona kwamba konda wa daladala anajaza watu katika daladala lakini kwa kujua hilo yeye haweki kichwa chake ndani kwa kuwa anajua kwamba upumuaji ndani ya gari kama inavyoonekana pichani, ni shughuli pevu! Ni lini tutakuwa kama wenzetu wa Uganda ambao hawaruhusu kabisa abiria kujazana katika dalada?

No comments:

Post a Comment

This blog gives information about accidents-vehicles,motorcycles,bycycles etc,also highlights the suffering of those involved in various accidents. It gives counselling to the accidents victims and information as to where they can get assistance be it legal or humanitarian.
Health blogs
eXTReMe Tracker