Wednesday, August 5, 2009

Hali Hii Mpaka Lini!(Samahani Picha Inatisha!)


Huyu ni majeruhi wa ajali ya gari kama alivyokutwa Taasisi ya Tiba ya Mifupa(MOI), kwa taarifa za awali, ajali ilisababishwa na dereva aliyekuwa anaendesha gari kwa kasi na gari ilipomshinda alimgonga mtembea kwa miguu huyu. Hapo alipo hatambuliki jina wala nini. Je, uzembe huu utaendelea kusababisha vilema na majeruhi kama haya hadi lini? nafikiri wanachi sasa tuamke. kama mamlaka husika zinasuasua, sisi ndio tunaoumia. Tukiamua kudhibiti hali hii kwa pamoja, inawezekana kujikomboa na vifi hivi visivyo vya lazima.

No comments:

Post a Comment

This blog gives information about accidents-vehicles,motorcycles,bycycles etc,also highlights the suffering of those involved in various accidents. It gives counselling to the accidents victims and information as to where they can get assistance be it legal or humanitarian.
Health blogs
eXTReMe Tracker