Saturday, August 8, 2009

Hali Hii Mpaka Lini!(Samahani Picha Inatisha!)-2

Pichani niMmoja wa majeruhi wa ajali iliyotokea wiki hii jijini Dar es salaam, ambapo gari la Magereza liligongana uso kwa uso na gari la FFU, abiria mmoja alifia katika eneo la ajali na majeruhi 9 walikimbizwa Taasisi ya Tiba ya Mifupa(MOI) ambapo mmoja kati ya hao alifariki akiwa chumba cha wagonjwa mahututi.
Picha hii itawasumbua baadhi ya wasomaji, lakini ninajaribu kuonyesha hali halisi ya majeruhi au vilema vinavyoweza kusababishwa na ajali zitokanazo na uzembe aidha wa madereva au hata watembea kwa miguu, ili tuweze kuona, kujifunza na kukemea uzembe huo.

No comments:

Post a Comment

This blog gives information about accidents-vehicles,motorcycles,bycycles etc,also highlights the suffering of those involved in various accidents. It gives counselling to the accidents victims and information as to where they can get assistance be it legal or humanitarian.
Health blogs
eXTReMe Tracker