Tuesday, August 11, 2009

Hali Hii Mpaka Lini!(Samahani Picha Inatisha!)-3

Majeruhi wa ajali ya gari ambaye ameumia sana sehemu ya kichwa, baada ya jitihada za madaktari wa MOI kuokoa maisha yake, amebaki na tatizo moja la kupoteza kumbukumbu. Mashuhuda wanasema kwamba ajali ilitokea baada ya dereva wa gari alilokuwamo majeruhi huyu kujaribu kupita magari mengine bila kuangalia magari mengine!Kuna haja ya kukemea hali hii ya uzembe wa madereva kwa nguvu zote!

No comments:

Post a Comment

This blog gives information about accidents-vehicles,motorcycles,bycycles etc,also highlights the suffering of those involved in various accidents. It gives counselling to the accidents victims and information as to where they can get assistance be it legal or humanitarian.
Health blogs
eXTReMe Tracker