Monday, February 23, 2009

KUTUMIKIA MABWANA WAWILI KWA WAKATI MMOJA?Jamani japo tunalalamika kwamba kuna mapungufu kwa askari wa kikosi cha usalama barabrani kina mapungufu, lakini sisi pia tunatakiwa kujua nini cha kufanya.

Pichani anaonekana dereva ambaye anaendesha gari na kusikiliza simu yake mkononi. kwa lugha rahisi au hata kwa kuangalia tu,inaonekana umakini wake umepungua kwa sababu umakini wote amehamishia katika simu.

UNAPOENDESHA USISIKILIZE SIMU AU KUTUMA MESEJI, OKOA MALI NA MAISHA!

No comments:

Post a Comment

This blog gives information about accidents-vehicles,motorcycles,bycycles etc,also highlights the suffering of those involved in various accidents. It gives counselling to the accidents victims and information as to where they can get assistance be it legal or humanitarian.
Health blogs
eXTReMe Tracker