Monday, May 25, 2009

Ajali ya pikipiki!


Ni kitu cha kawaida siku hizi kuona ajali kama hizi hasa ambazo zinawahusisha waendesha pikipiki.Kadri pikipiki zinavyoongezeka, na ajali za vyombo hivyo zinavyoshamiri. Mtazamo wangu ni kwamba, jitihada za makusudi zifanyike ili kudhibiti hali hii.

No comments:

Post a Comment

This blog gives information about accidents-vehicles,motorcycles,bycycles etc,also highlights the suffering of those involved in various accidents. It gives counselling to the accidents victims and information as to where they can get assistance be it legal or humanitarian.
Health blogs
eXTReMe Tracker