Saturday, May 23, 2009

Kutoka MOI Leo!

Dr. Harrison Mwakyembe atoka MOI.

Kwa mujibu wa taarifa zilizopatika Ofisi ya uhusiano Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Magonjwa ya Ajali(MOI), Mh. Harrison Mwakyembe aliruhusiwa jana saa na kuondoka hospitalini hapa majira ya saa mbili usiku. hii inaashria kwamba, kama alivyosema Pro. Kahamba ambaye ndiyo kiongozi wa madaktari waliomtibu, kwamba hali yake inaridhisha sana."Namshukuru Mungu kwa kunisuru katika ajali hii, na mengine yote ninaamuachia Mungu" alisema Dr. Mwakyembe baada ya kuulizwa na mwandishi kama anafikiria ajali hii imetokana na mkono wa mtu.
Wananchi wengi waliweka dhana kwamba ajali hiyo inawezekana imetokana na njama za watu hasa wanaojulikana kama 'mafisadi' kufuati kuwa kwake mstari wa mbele katika vita dhidi ya
ufisadi.


Dr. Mwakyembe akiwasili MOI

Dr. Mwakyembe akiingizwa MOI

Dr. Mwakyembe akifanyiwa uchunguzi chumba cha majeruhi MOI

Dr. mwakyembe akiongea na waandishi wa habari

Dereva wa Dr. Mwakyembe


Kufuatia kupata unafuu Dr. Mwakyembe aliruhusiwa kurudi nyumbani jana saa 2 usiku.Tunamtakia Dr. Mwakyembe ahueni ya haraka!

No comments:

Post a Comment

This blog gives information about accidents-vehicles,motorcycles,bycycles etc,also highlights the suffering of those involved in various accidents. It gives counselling to the accidents victims and information as to where they can get assistance be it legal or humanitarian.
Health blogs
eXTReMe Tracker