
Mtindo huu wa kukaa watu watatu katika pikipiki moja unaitwa "mshkaki" nafikiri umeitwa hivyo kwa jinsi watu wanavyojibana na kukaa kama nyama za mshkaki. Picha hii ni kutoka kenya, inaonekana na wao wanautumia. Lakini kwa waendesha pikipiki wengi wanasema kwamba, wengi wa walionyang'anywa pikipiki zao, waliwabeba abiria kwa mtindo huo. Nafikiri waendesha pikipiki wote wanapaswa kuwa macho.(source:Nation)
No comments:
Post a Comment