Tuesday, May 26, 2009

Hatari!

Nafikiri watumiaji wa Mandela Road na Morogoro Road hasa eneo la Ubungo mataa, wameshawaona vijana hawa wanafungua koki za magari ya mafuta na kuiba mafuta. Ninachohofia mimi ni pale wanapofungua hizo koki halafu wanaacha mafuta yanamwagika katika barabara. Je, mtu akirusha sigara inayowaka katika mafuta hayo nini kitatokea? Ni hatari jamani.
Photo source:Mwananchi

No comments:

Post a Comment

This blog gives information about accidents-vehicles,motorcycles,bycycles etc,also highlights the suffering of those involved in various accidents. It gives counselling to the accidents victims and information as to where they can get assistance be it legal or humanitarian.
Health blogs
eXTReMe Tracker