Friday, May 1, 2009

Apoteza Mkono Katika Ajali ya Treni(Train Accident)Kijana Dastan amepoteza mkono wa kushoto baada ya kukatwa na treni

Askari kutoka kitengo cha usalama Reli akipata maelezo ya ajali kutoka kwa kijana Dastan.

Pichani ni kijana Dastan Philipo(25) mkazi wa Karakata, akiwa MOI, anaonekana akiwa amepoteza mkono wa kushoto baada ya kukatwa na treni. Akisimulia mkasa uliompata, anasema alipata "bia mbili tatu" zikamzidia ndio akajikuta amelala relini. Anasema alishtukia yupo hospitali. "Baadhi ya wananchi walionikuta alfajiri nikiwa nimeshakatika mkono walisita kunisaidia wakidhani mimi ni kibaka", alisema Dastan.

(Dastan Phillip,25, got drunk and slept on the railway.The train crushed his left arm which led to amputation. he is recovering at the Muhimbili Orthopaedic Institute-MOI).

No comments:

Post a Comment

This blog gives information about accidents-vehicles,motorcycles,bycycles etc,also highlights the suffering of those involved in various accidents. It gives counselling to the accidents victims and information as to where they can get assistance be it legal or humanitarian.
Health blogs
eXTReMe Tracker