Nafurahi kuona wenye mabasi wanajali kama hivi kwa kutaka maoni na ushauri jinsi madereva wao wanavyofanya kazi,labda hii itatusaidia katika kupambana na hili jinamizi la ajali. sijui Una maoni gani.
Mr. Bobos Class, ni blog inayotoa taarifa mbalimbali za ajali na athari zake.Itangalia ajali zote lakini zaidi zile za barabarani.Mbali ya kutoa taarifa pia inatoa elimu jinsi ya kuzuia ajali na ushauri nasaha kwa waathirika,na jinsi wanavyoweza kupata msaada baada ya kupata athari.Pia Blog hii itaungana na wadau mbalimbali wanaohusika na masuala ya ajali kwa njia moja au nyingine, kuelimisha na kutoa ushauri.Blog inatumia Kiswahili na Kiingereza.
Tuesday, May 5, 2009
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
This blog gives information about accidents-vehicles,motorcycles,bycycles etc,also highlights the suffering of those involved in various accidents. It gives counselling to the accidents victims and information as to where they can get assistance be it legal or humanitarian.
Kwa kweli sasa hivi mabasi mengi sana yanatoa namba zao za simu kwa kupata maoni ya abiria wao, kama mabasi ya mikoani, unakuta tangazo ndani ya basi linalosema "toa maoni yako kama dereva anaendesha gari kwa kasi sana au kama kuna lolote ambalo hukuridhika nalo" then numbers zinaorodheswa. At least abiria unaona kuwa mmiliki wa gari anajali hili na mabasi hayakimbizwi sana. Tulindane ili tuepushe ajali zinazoepukika!
ReplyDeleteNi kweli nafikiri tumepiga hatua moja kubwa sana kwa hilo. Natumai wamiliki wengine watafanya hivyo, na abiria nao watachukua jukumu la kutoa taarifa wanapoona dereva anafanya mambo ambayo tanahatarisha maisha yao.
ReplyDelete