Tuesday, May 19, 2009

Dar's Rush Hour! Mapambazuko!

Hapa ni mapambazuko ndani ya jiji la Dar es salaam
Wengine katika mikokoteni haya!Ili mradi kumekucha kila mtu anaenda kutafuta riziki

Wengine usafiri wa chee au lifti kwa pick-up, ili mradi kufika katika sehemu za kazi
Ni saa ya mabasi kukimbizana na kuanza safari za kuelekea mikoani
Hii ndio hali ya Dar es salaam kunapopambazuka. Lakini kadri shughuli zinavyopamba moto na ndio hivyohivyo ajali zinavyogonga hodi!
Dar es salaam inachemka kama bahari!


No comments:

Post a Comment

This blog gives information about accidents-vehicles,motorcycles,bycycles etc,also highlights the suffering of those involved in various accidents. It gives counselling to the accidents victims and information as to where they can get assistance be it legal or humanitarian.
Health blogs
eXTReMe Tracker