Monday, May 18, 2009

No Helmet!Abiria Hawahitaji Kinga?


Ni hali ya kawaida katika sehemu mbalimbali kuona Mwendesha pikipiki anajikinga kichwa kwa kuvaa 'helmet' lakini abiria wake anatembea hivi hivi, kama inavyoonekana pichani. Ninachotaka kujua, sheria inasemaje kuhusu hilo? Na kama inakatazwa, mbona kila kukichwa tunaona watu hawa wakipita mbele ya askari wa usalama barabarani?
Nawasilisha!

No comments:

Post a Comment

This blog gives information about accidents-vehicles,motorcycles,bycycles etc,also highlights the suffering of those involved in various accidents. It gives counselling to the accidents victims and information as to where they can get assistance be it legal or humanitarian.
Health blogs
eXTReMe Tracker