
Gari la mizigo likiwa limezama katika matope kufuatana na mvua zinazoendelea kunyesha katika sehemu mbalimbali za nchi (Source:Mwananchi)
Mr. Bobos Class, ni blog inayotoa taarifa mbalimbali za ajali na athari zake.Itangalia ajali zote lakini zaidi zile za barabarani.Mbali ya kutoa taarifa pia inatoa elimu jinsi ya kuzuia ajali na ushauri nasaha kwa waathirika,na jinsi wanavyoweza kupata msaada baada ya kupata athari.Pia Blog hii itaungana na wadau mbalimbali wanaohusika na masuala ya ajali kwa njia moja au nyingine, kuelimisha na kutoa ushauri.Blog inatumia Kiswahili na Kiingereza.
Nategeme hakuna maafa. maana inaonekana walikuwa na wakati mgumu kweli.
ReplyDeleteNi kweli kipindi hiki cha mvua si cha kufanya safari ambazo si za lazima.Unaweza kukaa njiani kwa zaidi ya siku 5.Madereva wa malori kama haya huwa na roho ngumu sana, manake huwa wanakwama kwa muda mrefu sana.
ReplyDelete