Friday, May 1, 2009

Du! Sikia hii!Trafiki anapohoji "Kwanini Unaendesha na Makobazi"

I got this from the "Daily Nation" (Kenya) of 1st May 2009.


Traffic Police can be full of surprises as they corner motorists to cough up that one thing that motivates many of them to stand at roadblocks, come rain or shine, day or night! During a recent safari out of town, Rupi Mangat says their vehicle was stopped near Limuru, and an Officer, after looking around and finding nothing wrong, still couldn't just let them go. Rupi adds: "he looked down at my fee and said, 'you know, you are not allowed to drive in sandals'. Is this really true? Have logical Day, won't you!
(photo:siku-moja.blogspot.com)
Inachekesha! Mambo ya mshiko haya!

2 comments:

  1. Duh! Haki ya mama! Huyu mheshimiwa na hicho kitambi kama ndio imetokea vita ataweza kuroll kweli? Maswala ya kulala chini kwenye vita atayawezaje si miguu na kichwa vitahang? Huyo hafai kabisa kuwa askari, enzi za mwalimu askari anakuwa flat na mkakamavu si hivyo!!!

    ReplyDelete
  2. Ni kweli, hili ndio jeshi tunaloliona siku hizi. nakumbuka miaka ya nyuma nchi moja ya mashariki ya mbali, mkuu wa jeshi alitoa miezi mitatu kwa wale wote wenye "uzito wa ziada" kuhakikisha wamepungua kama wanaitaka kazi.Watu walipungua usifanye mchezo na kazi. Nafikiri IGP aangalie na upande huo.
    Asante kwa maoni yako Ndg anonymous karibu tena na tena.

    ReplyDelete

This blog gives information about accidents-vehicles,motorcycles,bycycles etc,also highlights the suffering of those involved in various accidents. It gives counselling to the accidents victims and information as to where they can get assistance be it legal or humanitarian.
Health blogs
eXTReMe Tracker