Monday, April 27, 2009

Agongwa na Bajaji

Anayeonekana pichani ni Bwana Mwarami akisimulia jinsi alivyogongwa na Bajaj akiwa pembeni ya barabara na kuvunjika mfupa wa goti(patella).Anasema ni kutokana na uendeshaji mbaya wa Bajaj uliopelekea yeye kugongwa.

4 comments:

 1. You are doing a great job, I bet it is difficult to face such reality for commomers like us :)) Cheers to your courage :)

  best
  -nivi

  ReplyDelete
 2. hodi wenyewe nimepita kukusalia nimekuona kwa mwanasosholojia

  ReplyDelete
 3. kariiiibu! thanx for passing-by, tuunganishe nguvu kufanikisha vita dhidi ya jinamizi la ajali.
  nasubiri maoni na ushauri toka kwako.
  Asante yasinta,
  Tram.

  ReplyDelete
 4. Thanx Nivi, hope u have good time on your trip
  TRAM

  ReplyDelete

This blog gives information about accidents-vehicles,motorcycles,bycycles etc,also highlights the suffering of those involved in various accidents. It gives counselling to the accidents victims and information as to where they can get assistance be it legal or humanitarian.
Health blogs
eXTReMe Tracker