
Hii barabara kama inavyoonekana pichani, ni pana, nzuri, kinachotakiwa ni kuiweka lami ili kuondoa ''makorogesheni''(mashimo?) ili kusaidia hata magari madogo yapite.
Maoni yangu ni kwamba, foleni tunazoziona sio foleni hasa bali miundo mbinu ndio inatuangusha. Naamini 'feeder roads' zikikarabatiwa au kupewa kipao mbele, hatutaona foleni tunazoziona. You wanna bet? Ngoja TANROADS watengeneze hizo njia halafu ndio tu-bet!
Thanks Emilio for visiting my blog! welcome again and again!send me photos of accidents from ur country i will be glad to post them too.
ReplyDeleteTram
Dar es salaam-Tanzania