Wednesday, April 15, 2009

Mgonjwa wa Akili Anapoongoza Magari!

Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mgonjwa wa akili anayeonekana pichani, aliingia katikati ya makutano ya barabara ya Ali Hassan Mwinyi na Kawawa(Morocco) na kuanza kuongoza magari kwa muda mpaka madereva walipomshtukia baada ya kuona hana hata viatu.
yES!kuna haja ya kuwatunza wagonjwa wa akili kwa sababu mgonjwa kama huyu angeweza kugongwa na gari na hatimaye kuumia au hata kupoteza maisha.

No comments:

Post a Comment

This blog gives information about accidents-vehicles,motorcycles,bycycles etc,also highlights the suffering of those involved in various accidents. It gives counselling to the accidents victims and information as to where they can get assistance be it legal or humanitarian.
Health blogs
eXTReMe Tracker