Sunday, April 5, 2009

Wanaodaiwa Kusababisha Ajali ya Treni Mbaroni!


K ati ya habari kubwa za kufunga wiki ni habari kuhusu ajali ya treni Dodoma. Wafanyakazi sita wa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) waliokuwa wanashikiliwa kwa tuhuma za kula njama zilizosababisha ajali ya treni ya abiria walifikishwa mahakamani mjini Dodoama.

Akisoma mashtaka mbele ya Hakimi Mkazi wa mahakama ya wilaya Thomas Simba, Mwendesha Mashtaka, Mrakibu wa Polisi, Polycap Urio ameiambia mahakama kuwa watuhumiwa hao wanadaiwa kutenda kosa hilo tarehe 29 mwezi uliopita katika eneo la Msagali Wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma(Mwananchi).

No comments:

Post a Comment

This blog gives information about accidents-vehicles,motorcycles,bycycles etc,also highlights the suffering of those involved in various accidents. It gives counselling to the accidents victims and information as to where they can get assistance be it legal or humanitarian.
Health blogs
eXTReMe Tracker