
Ni muda mrefu nimekuwa nikifuatilia magari yanayobeba takataka, na inaonekana kwamba mengi hayana vitu muhimu kama taa, vioo vya kumuongza dereva n.k. Lakini hili la gari kutembea bila namba limezidi mipaka. Gari kama hili likigonga au kupata ajali si rahisi kujua. Swali la kujiuliza ni kwamba gari kama hili linapita wapi? Askari wa usalama barabarani hawalioni?
No comments:
Post a Comment