
Vurugu za daladala wakati wa usiku zinatisha jamani!Picha hii imechukuliwa usiku wa leo maeneo ya 'Ubungo mataa' kwa kawaida njia hiyo ni ya magari mawili kila upande lakini hapo utaona magari sijui matatu au manne katika njia hiyo. Je, namna hii ajali zitakosekana? Na wanafanya hivyo wakijua kwamba muda huo askari wa usalama barabarani ni aghalabu kupatikana.
No comments:
Post a Comment