Saturday, April 18, 2009

Kutoka MOI Leo!

Kondakta wa daladala anayejulikana kwa jina la Juma Maduma(28) mkazi wa Kitunda, amepokelewa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Magonjwa ya Ajali Muhimbili(MOI) akiwa na maumivu makali ya kiuno baada ya daladala analofanyia kazi kugongwa na jingine kwa nyuma hali iliyopekelekea yeye kushtuka kiuno. Pichani Juma anaonekana akiwa na maumivu makali.


Afisa Uhusiano wa MOI, Jumaa Almasi amethibitisha kumpokea mgonjwa huyo.No comments:

Post a Comment

This blog gives information about accidents-vehicles,motorcycles,bycycles etc,also highlights the suffering of those involved in various accidents. It gives counselling to the accidents victims and information as to where they can get assistance be it legal or humanitarian.
Health blogs
eXTReMe Tracker